Psalms 94:12-13


12 aEe Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe,
mtu unayemfundisha kwa sheria yako,

13 bunampa utulivu siku za shida,
mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa
kwa ajili ya mwovu.
Copyright information for SwhKC